KWA MTUMISHI AMBAYE TAARIFA ZAKE ZA KIUTUMISHI ZINA MAKOSA AWASILIANE NA MWAJIRI WAKE KWA MASAHIHISHO

Dawati la Msaada: dawatilamsaada@utumishi.go.tz 0620464042 0752021 -991 0656433-948.     Tumekuwa Tukipokea Malalamiko mengi kuhusiana na kutoonekana kwa Taarifa za Mshahara kwa baadhi ya Watumiaji wa "Watumishi portal".Tatizo hili linaweza kutatuliwa kwa Kufuta historia (CLEAR CACHE) katika Kompyuta/simu yako.